Kamati ya maadili TFF imemfungia Bumbuli kwa Miaka mitatu
Kamati ya Maadili ya TFF imemfungia Hassan Bumbuli kutojihusisha na mchezo wa mpira wa miguu ndani Tanzania na nje ya Tanzania kwa kipindi cha miaka mitatu.
Mbali na kulipa faini ya shilingi milioni tatu kamati imemkuta na hatia kwa kuichelewesha faini aliotakiwa kulipa
0 Maoni