Timu ya Yanga time mfukuza kazi aliekua kocha mkuu Cedric Kaze baada ya kuwa na fululizo wa matokeo mabovu katika timu hiyo
Yanga walitoa tarifa mapema baada ya mchezo wao na Polisi Tanzania ambapo mchezo uliisha kwa sale ya kugungana goli moja moja
Timunya Yanga imewataka washabiki,wapenzi na wanachama kuwa watulivu kwa kipindi hiki
0 Maoni