Header Ads Widget

Ticker

6/recent/ticker-posts

Tanzania Imeaga Mashindano ya CHAN

Baada ya mchezo wa jana Timubya Taifa Stars zidi Ya Guinea kutoa sale ya Magoli mawili rasmi Tanzania imeaga michuano ya Chani




Katika mchezonulio kua bora kabisa Guinea wakipata Goli la kuongoza kwa njiabya penati na kisha Tanzania kusawazisha kupitia Baraka Majogoro nakisha dakika ya 67 Edward Manyama anafunga golinla pili Guinea nao wanasawazisha dakika za mwisho kupitika kwa mchezajinwao Victor mnamo dakika ya 82 nakufanya matokeo kuwa Tanzania 2 2 Guinea mpaka mchezo unaisha
Tanzania ilikua ikihitaji ushindi tu ili kusonga mbele katika hatua ya Robo Fainal ikiwa Zambia na Guinea wao wasonga mbele katika hatua ya Robo Fainali ya CHAN

Chapisha Maoni

0 Maoni