Baada ya mchezo wa kipolo cha Simba Sc Tanzania dhidi ya Dodoma Fc kuisha kwa Simba kushinda Goli mbili kwa moja Leo Ni Azam Fc ambao pia Ni kipolo kingine kwa Timubya Simba Sc mchezo huu utakua na ubunifu wa hali ya juu Sana katika pande zote mbili Kama Azam itaenda kwa kuheshimu timu ya Simba basi Tutegee mchezo mzuri na matokeo mazuri katika mchezo huu
Katika mchezo ulio pita kocha mkuu wa Simba aliingia na mfumo wa 4-1-4-1 ambao ulimpa wakati mgumu katika kupanga mikakati ya ushambuliaji hasa Katika nafasi ya kiungo Leo tutalajie mabadiliko katika kikosi cha Simba
Azam wamekua nao vizuri katika kipindi hiki ligi ilipo kuwa imesimama wakifanya mazoezi na kuwa na michezo ya kirafiki kadhaa pia na ule wa TP MAZEMBE japo Katika mechi za awali Prince Dube akiwa majeruhi Azam hawakuoneka wakiwa bora katika ushambuliaji Dube kaludi katika kikosi tutalajie nini katika mchezo huu wa SIMBA SC TANZANIA dhidi ya AZAM FC
0 Maoni