Header Ads Widget

Ticker

6/recent/ticker-posts

Kaze Nina Imani kubwa na Sarpong

-Kocha mkuu wa Yanga SC Cedric Kaze ameweka wazi imani yake kwa mshambuliaji wake Michael Sarpong raia wa Ghana baada ya shutuma nyingi za mashabiki juu ya uwezo mdogo wa mshambuliaji huyo katika kucheka na nyavu.




-“Sarpong ana kipaji kizuri na ni mmoja kati ya wachezaji wenye bidii sana mazoezi na ni nidhamu yake ni nzuri hivyo mashabiki waweke imani juu yake na mimi kama kocha ninaweka mikakati kabambe kurejesha makali yake"

“huu ni upepo tu mbaya ambao wachezaji wengi wazuri huwatokea . Atakuwa bora na kila mmoja atasahau hiki ambacho kinawafanya kukosa imani kwa Sarpong. “

Chapisha Maoni

0 Maoni