Header Ads Widget

Ticker

6/recent/ticker-posts

Kikosi Cha Simba Kimeanza Mazoezi Leo Usiku baadaya kufika Kongo

Mapema usiku huu Timu ya simba imeanza Mazoezi ya mchezo wake Dhidi ya AS Vita utakao chezwa Ijumaa hii 


Simba walianza Safali yao hapo Jana wakipitia Ethiopia ambapo walilala nakuendelea na safari ya kuelekea Kongo mapema Leo pia kocha Mkuu wa Simba Gomez da Rosa alisema Ku wa hawana hofu na AS Vita

“Tunafahamu tutacheza na AS Vita Februari 12 kule Kongo lakini hatuna hofu sana na mechi hiyo kwa sababu timu imekuwa na maendeleo mazuri kila baada ya siku.

“Tumekuwa tukipambana kila kwenye mechi kufanya vizuri, hali ambayo inatufanya twende kwenye mechi hiyo tukiwa kamili.

“Uzuri zaidi ni kwamba tumekuwa tunabadilika kutokana na mpinzani ambaye tunacheza nae,” amesema Da Rosa, Kocha Mkuu Simba


Chapisha Maoni

0 Maoni