Header Ads Widget

Ticker

6/recent/ticker-posts

Kikosi Cha Simba Pamoja na Bechi La Ufundi wafika Ethiopia Salama

Kikosi cha Simba Sc kilicho safiri na watu 40 pamoja na Bechi la Ufundi kimewasili usiku katika nchi ya Ethiopia kikitokea Nchini Tanzania na wote wamefika salama




Kocha mkuu wa Simba Sc akiwa katika uwanja wa kimayaifa wa Mwalimu Nyerere alisema kuwa

Wachezaji wote wako salama na pia Joash Onyango amelejea kikosini pamoja na Jonasi Mkue anakosa ubora wa kimchezo kutokana na kutokuwepo katika kikosi hicho kwa muda kwa muda mrefu katika kikosi hicho pia amekosekana mchezaji wa zamani wa Platinum ya Zimbabwe Perfect Chikwende ambaye yeye hatoshiriki michezo ya Klabu Bingwa Afrika kwani alishiriki awali akiwa na timu yake ya Platinum




Kocha aliongezea kua As Vita wapo vizuri kutokana na ubora wao katika mashindano haya Barani Afrika anacho amini Ni ushindi na kuheshimu timu pinzani pamoja ubora wa kocha Ibege wa As Vita aliye dumu kwa muda mrefu katika timu hiyo
Simba Leo wataanza safari kutoka Ethiopia kuelekea Kongo Kinsasha mchezo wao unatarajiwa kuchezwa siku ya Ijumaa
Afisa Habari wa Simba aliongezea na kusema mchezo utachezwa siku ya Ijumaa kwani pia wategemee mabadoliko wakati wowote na anacho amini Mwaka huu timu ya Simba Sc inaenda kufanya vyema Kongo






Ni kwa Mara ya pili Simba na As Vita wanakutana katika hayua hii ya makundi mwanzo ilikua msimu wa 2018/2019 ambapo Simba ilisonga mpaka hatua ya Robo Finali

Chapisha Maoni

0 Maoni