Header Ads Widget

Ticker

6/recent/ticker-posts

Kocha Mkuu wa Simba Mchezo Ulikua Mgumu

"Ulikuwa mchezo mgumu lakini tulijua kabla ya mechi kwamba ingekuwa ngumu. Tumeridhishwa sababu lengo kuu leo ilikuwa ni kupata alama tatu na kupunguza alama zilizopo na timu inayoongoza ligi." - Kocha Didier baada ya mchezo dhidi ya Dodoma Jiji FC.

Baada ya mchezo wa Leo Simba Sc Tanzania wataludi Dar Es Salaam kwa maandalizi ya mchezo wa jumapili Dhidi ya Azam Fc ambao nap pia Ni kipolo 

Chapisha Maoni

0 Maoni