Hii imetokea katia chapisho la timu ya Fenerbahçe ambalo lili husisha picha ya Samatta kumekuwepo na maneno ya kibaguzi ikiwemo kumfananisha mchezaji Samatta na takataka
Baadhi ya machapisho ya washabiki wa fernebahçe kwa usaidizi wa Google translation
Fenerbahçe wapo katika nafasi ya tatu katika msimamo wa ligi ya Uturuki wakiwa nyuma ya Gatasaray mwenye alama 57 akiwa ndio kinara wa Ligi hiyo akifuayiwa na Besiktas mwenye alama 54 na wa tatu ikiwa Ni Fenerbahçe yenye alama 51 leo pia Fenerbahçe watakuwa dimbani kucheza na Trabzonspor Samatta akianzia Bechi timu itakuwa ugenini kutafta alama 3 wakiwa tayali wamesha cheza michezo 25 ya Ligi hiyo swali Ni kwama leo Samatta atafunga goli akipewa nafsai kuwaonyesha washabiki yeye Ni bora?
0 Maoni