Ni siku tatu zimepita baada ya mchezo wa klabu bingwa Barani Afrika kati ya Simba Sc na miamba ya Afrika Al Ahaly Ya Misri kumalizika kwa ushindi wa Simba wa goli moja kwa Sifuri Simba wamekua na Rekodi nzuri Sana wakicheza nyumba kila wanapokutana na timu toka kaskazini au kwa maana nyingine Waarabu bila ya ya kupoteza mchezo wowote mbele yao
REKODI BORA KABISA SIMBA NA WARABU AKICHEZA NYUMBANI
2021: Simba 1 - 0 Ahly SC
2019:Simba 1 - 0 Ahly SC
2018:Simba 2 - 2 Al Masry SC
2010:Simba 2 - 1 Haras Al Hudod
2003:Simba 1 - 0 Zamalek 2003:Simba 0 - 0 Ismaily SC
2001:Simba 1 - 0 Ismaily SC
1996:Simba 3 - 1 Arab Contractors
1985:Simba 2 - 1 Ahly SC
1974:Simba 1 - 0 Ghazl Al Mahala
Ni kwa Mara ya pili Simba anakutana na Al Ahaly ya Misri Nyumbani na Al Ahaly anapoteza mchezo licha ya kuwa kwenye kiwango bora cha mchezo Dunia ikiwa ya Kwanza kwa Afrika na Ya tatu Duniani katika Ligi ya Vilabu bora vya Dunia
Mchezo wa Simba uli ulikua wa kiwango cha juu na Simba waliweza kushambulia muda wote na kufanya wawe bora katika mchezo Timu ya Simba ilijipatia golimlake mnamo dakika ya 31' baada ya Chama kutoa pasi nje kidogo ya 18
kwa kiungo Mshambuliaji Luis Miquissone ambaye alijikokota na kusumbua safu ya ulinzi ya Al Ahaly na kuachia mkwaju ulio zama nyavuni na kufanya holi hilo lidumu mpaka dakika ya tisini
Katika Msimamo wa kundi Simba anaongoza akiwa na alama Sita na goli mbili bila ya kupoteza mchezo akifatiwa na As Vita wenye alama tatu goli nne wakiwa wamepoteza mchezo mmoja wakifuatiwa na Al Ahaly wenye alama na goli 3 wakitofautiana na As Vita kwa goli za kufunga na kufungwa na wa mwishonkayika msimamo wa kundi Ni Al Merrikh wakiwa hawana alama hata moja wakifungwa michezo Yao miwili goli 7 nakufunga goli 1 tu poa katika msimamo wa Ligi ya Mabingwa Simba ndio vinara wa Msimamo wa Ligi ya Mabingwa Barani Afrika
Baada ya michezo ya kimataifa Simba leo Wapo uwanjani tena kucheza mchezo Kombe la shirikisho la ASFC ambalo bingwa anafuzu moja kwa moja katika michezo ya Klabu Bingwa Afrika au katika michuano ya Shirikisho Barani Afrika ukikosa nafasi katika ASFC basi uchukue Ubingwa wa Ligi Kuu African Lyon Ni timu inayo Fanya vyema pia katika ligi daraja la kwanza poa tunatarajia mchezo mzuri zaidi leo mchezo huu utachezwa SAA moja kamili jioni Simba akiwa Kama mgeni wa mchezo huu
0 Maoni