Header Ads Widget

Ticker

6/recent/ticker-posts

Simba Kuitangaza Tanzania Kimataifa

Simba imeingia makubaliano na Maliasili na Utalii kutumia Jina Visit Tanzania katika hatua ya makundi
simba iliingia hatua hiyo baada ya kuifunga Platinum Fc ya Zimbabwe magoli 4 bila katika Uwanja wa Mkapa



CEO wa Simba Sc Tanzania amesema pia

"Kama mnavyojua kuwa michezo ya michuano hii (CAFCL) inaangaliwa na watu kutoka kwenye zaidi ya 50 za Afrika na wengine kutoka nje ya bara la Afrika wakiwepo mascout wa kutafuta wachezaji. Kwenye hili la masout mfano mzuri ni kupitia Mtanzania na Mwanasimba mwenzetu, Mbwana Samatta. Wakati anajiunga na Genk akitokea TP Mazembe, mascout wa Genk walimuona kupitia michuano ya Ligi ya Mabingwa na hii inaonyesha kwamba hata watu kutoka nje ya Afrika wanayafatilia mashindano haya. Tumejipanga na hakika tutaitangaza vyema Tanzania yetu."




Jumapili hii Simba watakua na mchezo wa Kipolo dhidi ya Azam Fc ambao ulitakiwa uchezwe mzunguko wa kwanza kabla ya kuanza mzunguko wa pili ikiwa Jana Simba walicheza pia mchezo wa kipolo dhidi ya Dodoma Fc nakushinda Goli Mbili kwa Moja

Chapisha Maoni

0 Maoni