Tuna ratiba ngumu sana ; baada ya mchezo wa leo na Dodoma FC , alfajiri kesho tutaondoka na ndege kurudi Dar es Salaam kwa ajili ya mechi yetu na Azam FC. Jumatano tutakuwa safarini kuelekea DR- Congo kwa ajili ya mchezo wetu wa kwanza wa klabu bingwa ngazi ya makundi dhidi ya AS Vita. Tunawaomba mashabiki wetu na wadau wa soka nchini kutuombea kuvuka ratiba hii ngumu pia tungefurahi sana kuwaona mashabiki wetu leo wakaja kwa wingi uwanja wa Jamhuri kuiona timu yao ikicheza dhidi ya Dodoma “
Amesema
Pia mocha mkuu Simba Sc Tanzania amesekua mvhezo w keo zidi ya Dodoma Jiji Fc utakua mgumu kwao ila wapo kupambana wapate matokeo mazuri
0 Maoni