Raja Casablanca 6- 0 Yanga na mchezo wa makuludiano Dar Es Salaam Yanga wakashindwa kutamba pia kwa kutoa sale ya goli 3 Yanga 3 - 3 Raja Casablanca
Jana tumeshuhudia Namungo Fc kocha ya kuwa pungufu wajifungwa goli moja na Raja Casablanca mapaka Dakika ya 90 ya mchezo Raja Casablanca 1-0 Namungo Fc licha ya Namungo kuwa wageni katika Ligi Kuu na pia kuwa wageni wa Michuano hii ya Shirikisho Barani Afrika kwa uwezo wao wamejituma na wamefanikisha kile walicho elekezwa na Mwalimu wao tunaweza sema wanachukua uzoefu katika michuano hii katika kundi Lao kuna miamba ya afrika ambayo inawezakuwa kikwazo kwao kuendelea na Safari hii ya michuano ya Shirikisho Barani Afrika
0 Maoni