Header Ads Widget

Ticker

6/recent/ticker-posts

FAIDA ZA PI NETWORK TOFAUTI ZAKE NA SARAFU NYINGINE ZA MTANDAO KAMA BITCOIN

Pi Network inautofauti mkubwa Sana na sarafu nyingine za mtandao yaani cryptocurrency



Kwa namna moja au nyingine tunaweza kusema kuwa hii ni sarafu bora ya kizazi kipya cha cryptocurrency



Ukipitia kandarasi ya Pi Network utakuata wanzirishi wake yaani Pi Core Team wanasema kuwa kwa kipindi cha miaka 10 iliyo pita tangu kuzaliwa kwa BITCOIN kupekuwa na miradi au uzinduzi wa sarafu nyingi za mtandao ambazo Pia zimetumia watumiaji wao kwa kipindi kirefu wakifanya mining au uchimbaji wa Sarafu pindi zinapo kuwa katika mfumo wa uchimbaji na kuingia katika Soko la BITCOIN au BITCOIN exchange zikiwa na thamani ya chini Sana
Mfano
Umetumia miaka mitano ukachimba labda sarafu ya BITCOIN kwa kipindi hicho 1BTC imeingia na thamani ya 0.0003$ kwa wastani wa pesa ya Tanzania ni Senti 7.2Tsh yakufaa nini katika matumizi yako itakuchukua mwendo wa BITCOIN ngapi kufikia Dola 100$




Ndio maana Pi Core Team wakaona isiwe tabu watumiaji walio ijenga Pi Network wao waamue bei ya Pi Network kwa ajiri ya matumizi yao ya kila siku
Basi usije ukaistaajabia Sana thamani ya Pi Network kwa ajili ya mauzo na manunuzi ya bizaa kwa thamani ya Dola za kimarekani 314,159$ ambazo ni zaidi ya pesa ya kitanzania Milioni Mia 750 TSH na zaidi kwani watumiaji wa Pi ndio wameamua kuwa bei kwa ajili ya manunuzi na mauzo ya bidhaa za ndani ya Pi Network kupitia Pi Network Community na Pi Consensus ambao wote kwa pamoja ni watumiaji wa Pi na wanafanya uchimbaji wa Pi ndani ya Pi Network

Katika WHITE PEPA MPYA YA PI NETWORK YA DECEMBER 2021 INA MGAWANYO WA PI BILIONI 100

Ikiwa Pi Core Team wao wana 20% na jamii ya Pi au Pi Community wana 80% ya mgawanyo katika Bilioni 100


Huo ndio muongozo wa WHITE PAPER YA DECEMBER 2021 inaonesha mgawanyo wa Pi na uchimbaji wake baada na kabla Mainnet Pi Core Team wamejitahidi kuelezea jinsi gani wataweza kulisimamia Soko hili guru la sarafu ya Pi hata baada ya kuingia sokoni
Hasa baada ya vipindi vitatu vya uchimbaji wa Pi Network kuisha na watumiaji wa Pi kuweza kuwekewa Pi zao katika mkoba wao wa pesa wa Pi,katika kandarasi hii mpya ya Pi Network imeweza kueleze mgawanyo huo hususani Kati uboreshaji wa Sarafu hii ya Pi Network.

Hivyo unaweza kutazama katika chat I ifutatayo ya mgawanyonwa bilioni 100 kuwa PI CORE TEAM WATAPOKEA BILIONI 20 ikiwa Jamii ya PI au PI inapokea bilioni 80



Ukitazama chati ya mgawanyo wa utaona jinsi gani bilioni 80 za PI COMMUNITY zilivyo gawanywa
  1. 20 Bilioni lilitolewa la gawio kwa wachimbaji wa awali
  2. 45 Bilioni zimepelekwa kwenye waleti za watumiaji wa Pi Network (MAINNET WALLET REWARDS)
  3. 5 Bilioni zinatumia kwa ajili ya kuongeza thamani ya Pi ndani ya mladi mzima Kama kitega uchumi
  4. Bilioni 10 katika bilioni 80 zinatumika kwa ajili ya dharula ya matukio na ruzuku ya Jamii ya Pi .
Hivyo kwa kiasi Kama mtumiaji wa pi nime weza kukuchukulia kidogo katika White Paper ya Pi Network ambayo ndio kandarasi ya mradi wote huku
Hivyo unatakiwa kujua kuwa Pi Network hujapewa bure Bali wewe ndiye mjenzi wa mladi huku kwani unapo jisajili na Pi Network unapewa hiyo Pi moja unapewa Kama njia ya kuanzia maisha yako ndani ya Pi Network ndio maana Pale unapo Fanya mchakato wa KYC ndani ya Pi Browser Pi Core Team wanakuomba uwarejeshee 1π walio kuazima wakati unajisajili na Pi Network
Hivyo basi tambua kuwa umetumia muda wako kufanya Pi iitwe Pi Duniani kwa kuitangaza na hukupewa bure Bali umeitafta kwa jasho lako umetumia muda na Bando lako kuchimba Pi Network itunze
Kama hukupata muda wa kuchimba Pi Network basi muda ni Hui
JISAJILI NA PI NETWORM

Ukiulizwa code ya usajili

Kwenye invitation code andika ( Chambanenge)
Kisha bonyeza SUBMIT

Endele kusoma Makala za Pi Network
✍🏾 ©Chambanenge

Chapisha Maoni

0 Maoni