Kwanza tuanze na Cryptocurrency ni nini?
Cryptocurrency ni sarafu za mtandao ambazo hazimilikiwi na Banki ya aina yoyote ile ambapo inafanya kazi sawa na pesa za kawaida pale tu utakapo badili sarafu za crypto nakuwa pesa kwa matumizi ya KITANZANIA,USD, POUNDN n.k
Kwa Mara ya kwanza cryptocurrency ilianza na sarafu mama inayojulikana kwa jina BITCOIN ilianza kati ya miaka 2009 nakuanza kufanya kazi Kama pesa ya mtandao kwa miaka tote hiyo ilitumia mfumo wa Mining yaani uchimbaji wa bure kwa wakati ule ilikuwa vigumu kwani ni wachache walio miliki kompyuta sio Kama sasa watu wanatumia simu janja zinazofanya kazi sawa na kompyuta
Kwa sasa BITCOIN au sarafu moja ya BITCOIN Ina samani ya pesa ya kitanzani Million 57 kwani sarafu moja Ina thamani ya dola za kimarekani karibia 22,000+$ Zaidi jina sarafu nyingi Sana zilizo kuja baada ya BITCOIN lakini hazijaweza kuivuka BITCOIN kwa samani
Kwa nini Leo Pi Network (Pi/π)
Pi Network ni sarafu mpya ya kidijitali au mtandao Kama ilivyo kuwa kwa BITCOIN kwa miaka ya 2009 kwa sasa Pi au πPi inatumia mfumo huru wa kujichimbia sarafu bure bira ya malipo kabisa kwa ufupi Pi imeanzisha mwaka 2019 na wasomi wa chuo kikuu cha Stamford Bridge University,Bwana Nicolas Kokkalis na Bibi ChengDiao Fan hawa wanatamburika kwa jina moja Kama kitovu cha uanzilishaji wa Pi Network (Pi Core Team)
Picha
Kwa uchimbaji wake ni kila baada ya 24 ya uchimbaji yakiisha utaingia tena na utabonye kitufe ⚡ cha ujimbaji tena na uta jikusanyia sarafu zako,mnamo tarehe 14 March 2022 mwaka huku Pi Network ilinzisha rasmi mfumo wa ufungiaji wa sarafu za Pi yaani Pi LockUp ambapo mfumo huu unaruhusu mtumiaji wa Pi kuzi fungia Pi zake kwa kipindi cha muda furani na kisha kuziacha huru kwa ajili ya matumizi ya kila siku
Pia tunaweza kusema kwa sasa toka kipindi cha BITCOIN imepita miaka mingi ukifuatia mapinduzi ya 4 ya uchumi kwa sasa Pi inania ya dhati kuwa iwe sarafu ya kawaida katika matumizi ya kila siku na watumiaji wake yaani Pioneers wataamua samani ya Pi ndio maana usishangae katika post zangu either status utaona China imeamua Pi 1π iwe na samani ya dola zaidi ya laki 3 (314,159$) na makampuni zaidi ya 1000 ikiwemo Amazon wamekubali bei hiyo kwa malipo ya manunuzi ya bidhaa kutokana na samani hiyo hata uchimbe Pi 10 tu zitakutosha kutumia kwa maisha yako ya kila siku kwani faida moja wapo ya Cryptocurrency hupanda thamani kila siku fikilia 20$ kwa miaka 1998 ilikuwa na thamani kubwa kuliko sasa huwezi nunua hata pikipiki kwa 20$ kwakuwa samani yake IPO chini
Picha chini inaonesha tofauti hiyo ya cryptocurrency na dola au pesa yoyote ya kila siku unayotumia
Nirahisi mno kujisaji na sarafu hii pendwa ya mtandao kwa kupitia
⚡ Facebook
⚡Email
⚡Namba ya simu
👇🏾👇🏾
Kwa sababu za usalama na ukubwa wa sarafu hii ya Pi Network unashauriwa kusajili akaunti yako ya Pi kwa majina yako harisi yaliopo kwenye vitamburisho vya taifa au nyaraka za serikali kama kitamburisho cha taifa,mpiga kura,hati ya kusafiria na leseni ya udereva ili pindi utakapo pokea mwaliko wa KYC majina yako yaendane na vitamburisho vyako
Makala ijayo nitakuelezea faida za kutumia Pi Network
© ✍🏾CHAMBANENGE
0 Maoni