Katiko toleo la kwanza la ramani au mchoro wa Pi Network kuelekea Kufunguliwa kwake
Road Map ya Pi Network ulikuwa na vipengere vifuatavyo
1. APP
✍🏾Mining App
✍🏾Pi Chats
✍🏾Fireside Forum
✍🏾BrainStom App
Katika kipengele hiki cha kwanza Pi Core Team Waliweza kuboresha Mining Rate na kuweza kuifanya App iwe nyepesi unapo bonyeza kitufe cha uchimbaji hususani kutumia sekunde chache na data kidogo pia katika chats waliweza kuzindua mfumo wa Pionea kuweza kuchati na groups moderator kwa siri pasipo watu wengine kujua kwa pia waliweza kuzindua app mpya ya Fireside Forum ambapo mtumiaji wa Fireside ataruhusiwa kupost Kama atalipia kuanzia 1π au 0.5π kulingana na mahitaji ya machapisho yake pia Fireside imekuwa na uwanja mpana wakuweza kupost maudhui ya pivha na video nakuweza kufikia watumiaji wa Pi kwa urahisi zaidi pia kupitia App Pi Core team waliweza boresha Apps au vitumizi vilivyowekwa ndani yake kwa kutaka washindi waboreshe Vitumizi hiyo kulingana na mahitaji ya watu
2.Platform Ecosystem Components
✍🏾Pi Browser
✍🏾Pi Ecosystem Interface
✍🏾PiNet
✍🏾Developer Platform and Tools
✍🏾Developer Portal
3. BlockChain Essentials
✍🏾Brockachain
✍🏾NODE
✍🏾KYC
✍🏾Token Model and Mining
✍🏾Pi Wallet
✍🏾BlockExplorer
Katika kipengele hiki kwa ufupi katika machache Pi Core Team walielezea kuwa Pi Ina mfumo wake wa miamala yaani BlockChain ya Pi ambayo ni hai kupitia hayo Pi waliweza kuboresha KYC na kuboresha mkoba wapesa wa Pi yaani wallet na kuweza kunzisha majaribio ya mkoba wa Pesa wa Node ya Pi kuweza kuweza kuanzisha mchakato wa kuwa Pi itakuwepo katika exchange za Cryptocurrency nyingine kwa kuboresha kipengele cha BlockExplorer ambacho kitawezesha exchange au bank nyingine za Cryptocurrency kuweza kubadili Pi na sarafu nyingine moja kwa moja tuende kipengele cha mwisho katika ROAD MAP VISION 1 ya PI NETWORK
4. COMMUNITY
✍🏾Events
✍🏾#PiHackahon
✍🏾Developer Ambassador Program
✍🏾Pi App Incubator
✍🏾 Pi- Powered Commerce Program
Hapa kwa ufupi Sana nitaangazia vipengere viwili tu vya ✍🏾Pi Hackathon na Pi ✍🏾Powered Commerce Program nikiacha Events mambo ambayo yalitukia na ulikuwa Pi events wengine mnakumbuka na hii Developer ambassador Program ambayo imezinduliwa mwezi uliopita ambapo kilele chake ni tarehe 25 /12/2023 hapo kesho nawakumbusha Kama hamkumbuki
Nikianza na PI Hackathon hii ni program ambayo iliwekwa mahususi kupokea watu kwenye uwezo wa kutengeneza vitumizi au Apps ndani ya Pi kwa ajili ya kurahisisha matumizi kwa watumiaji wake na kilele cha Pi Hackathon ni December 31,2023 wiki inayo kuna kuanzia kesho katika program hii imerahisisha Sana kuwapo kwa vitumizi vingi ndani ya Pi hususani katika nchi tofauti tofauti Duniani hakika hongera kwa jitihada za Developer kote Duniani ,Kama huja kukamilisha mfumo wako ulio ingiza katika Pi Hackathon basi December 31 wiki ijayo ndio mwisho
Tukiangazia mwisho Pi Powered Commerce program ambayo imefahamika Sana Kama PI FEST au unaweza iita PI FESTIVAL ambayo Pi core Team walihamasika kwa kuhamasisha watu waweze kuonesha jinsi ghani wanaikubali Pi Kama nyenzo kuu ya malipo na kuchukua tarifa za Dunia nzima hii iliisha December 11 ,2023 hivi karibuni na ikiwa Kama kipengere cha mwisho katika toleo la kwanza la Ramani ya Pi au kwa lugha ya kisasa PI ROAD MAP VISION 1
Tukiangazia tukio la mwisho wa mwaka matarajio makubwa kutoka kwa Pi Core Team ni kuzindua kwa ROAD MAP VISION 2 na kuweza kuzindua eidha mfumo mpya wa kuendelea kufanya biashara kwa malipo ya pi na kuruhusu tunapo subili kufunguliwa kwa Pi
Ikumbukwe katika toleo la kwanza la ROAD MAP YA PI imeelezwa kuwa PI Core Tea hawatoweza toa tarehe harisi ya kufunguliwa kwa Pi yaani Pi Open Mainnet kwa lugha nyingine
Toleo lijalo tutaangazia Toleo la Pili LA Pi yaani ROADMAVSION 2 iliyo toewa hivi karibuni
Asante
©CHAMBANENGEπ🇹🇿
1 Maoni
Nice
JibuFuta