Header Ads Widget

Ticker

6/recent/ticker-posts

KYC ya Pi imeweza kuboreshwa

 Kabla ya kuelekea ugunguzi waPi mwishoni mwa mwezi huu 31 December Pi Core Team wamesema kuwa bado watu milioni moja kuweza kufikia Lengo na kusudi Lao LA ufunguzi wa Pi 


Katika hilo Pi Core Team wanahitaji Pi zilizo kuwa zimehama kwenye wallet milioni 1O na watu walio Pata KYC milioni 15 niwazi PiCoreTeam Wawaza kukuza thamani ya Pi iwe juu zaidi kwa lugha ya kigeni tunaweza kusema

 " Pi Core Team lowered Pi supply from 100B to 10M on Open Mainnet and lowered community value from 60M to 15M this means than the high total supply the low demand and vice versa"


Hii niwazi mpaka kufikia ufunguzi wa Pi jumuiya ya watumiaji wa Pi wanataraji kuona thamani kubwa wanayo ihitaji kwa ajili ya matumizi ya kila siku ndani ya Pi


Aidha katika hilo Pi Core Team wamewezakuongeza siku zakufanya KYC kwa Pionea ambo hawajakamirusha mpaka kufikia December 31 wawe tayari wamefanya KYC nakumamirisha vipengele vyote vinavyohusiana na kuhamisha sarafu zao na uhakiki wa akaunti zao za Pi


©Chambanenge

Chapisha Maoni

0 Maoni